Phone for sale

kim prince msofe

Senior Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
154
Reaction score
44
Boom j8 inauzwa TSH 300k inapatkana dsm kwa serious buyer njoo pm<br /><br />
 
Hebu tuwe wakweli, kidogo ALHAJI TECNO dukani ni tsh. 300K mpaka 270K brand new ndani ya box na warrnty ya mwezi mmoja, sasa ww unakuja hapa na picha zako ndani ya darasa sijui umesha kula ada unasema 300K haya labda wasubiri wa mkoani
 
Hii labda uwauzie wale wakulima wa wakorosho kutoka Mtwara na Lindi.....Maana kwa bei hiyo na kwa hadhi ya simu yenyewe, mteja utakayempata ni yute tu mwenye hela za kuchezea. Na kwa hapa TZ wakulima wa korosho ndio wenye hela za kuchezea kwa sasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…