Specification;
Hp
RAM 4GB,
Hard disc;1Tr
Core i3
Battery inauwezo wa kawaida sio mkubwa sana.
Soft ware iko up to date with apps,games and movies kibao
Haina tatizo lolote
Ina muoneka mzuri(imeprotectiwa na cover)
Bei ya kuanzia 489k Tunaweza kuongea pia inapungua.