inatumia connection za RJ 11 so kama siemens inatumia RJ 11 itasupport, imetumika kama wiki moja hivi nchini Dubai kuhusu bei ni PM na ina line 11 na sio 8 kama nilivyosema mwanzo nazani unaweza ukaiona katika picha ie line 3 za kulipia na line 8 ni free of charge.