Pata simu mpya kwa bei ya chini zaidi

Uko wapi.mkuu nimeipenda hiyo LG2 mm niko Arusha
 
Mzigo mpya huo umeingia
Samsung galaxy s4 mpya 390,000
maelewano yapo

Samsung galaxy s3 mpya
Bei 320,000
 
Iphone 5 used 490,000
 
Kweli una bei friendly kuwahi kuona ila kama ni original,hongera,nitakutafutia wateja,nasubr feedback kwa wanunuz
 
Mkuu kama ni original mm na wengine wawili ni wateja wako tayari, nipm pic za imei namba ya hiyo note 3 tufanye biz. Nataka nione si unajua mwezi wa sita mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…