mnyafigulu
Member
- Dec 24, 2017
- 29
- 10
Sh. 12,000 kwa urefu wa mita mojaHilo la pili kutoka mwanzo sh ngap?
Mita Tatu bosiNa hapo lilipo ni mita ngap
Kwahiyo hilo tu ni 38? Na unapatikana wapMita Tatu bosi
Mm mi hesabu zimenichanganya asee ufafanuzi pleaseeee
Umesema gauge 30 =21000pc hii 7500 ni nini tena ??
naomba kuuliza kuhusu bati za adro (adro roofing products).. wanauza sh 12,500 kwa mita za gauge 28... bei yao ipo juu sana naomba kuuliza kuhusu ubora wake na kupauka...
mkuu umeweka alama ya ulizo!!! sijakuelewa...nipe maelezo kidogo kuhusu mabati ya Ando,,,Mabati ya Ando ni mazuri na hayapauki au kumeguka rangi !
Hiyo 7500 ni kwa zile bati za vipimo maalumu zaidi ya mita tatu7500 kwa kila mita moja...kwahiyo bati lote lina mita 3..ukizidisha mara tatu unapata 22500...hiyo 21000 atakuwa amekosea au ni bei ya jumla
Hiyo 7500 ni kwa zile bati za vipimo maalumu zaidi ya mita tatu
mkuu umeweka alama ya ulizo!!! sijakuelewa...nipe maelezo kidogo kuhusu mabati ya Ando,,,
ooh thanks mkuu hata mimi nimeyatumia kwenye project zangu baada ya kufanya utafiti kwa mafundi wengi, nilitaka kupata uhakika zaidi kutoka kwa wadau humuUsitie shaka ni alama ya mshangao. Hata hivyo yana sifa kama nilivyokueleza na mimi mwenyewe nimeyatumia . Ingia kwenye website ya kwa maelezo zaidi (Ando :: Home )
naomba kuuliza kuhusu bati za adro (adro roofing products).. wanauza sh 12,500 kwa mita za gauge 28... bei yao ipo juu sana naomba kuuliza kuhusu ubora wake na kupauka...