Swali zuri sana na majibu yake kwa usahihi kiwanja bado hakijapimwa lakini uongozi wa serikali za mitaa ulishatenga maeneo muhimu kwa huduma za jamii na maeneo ya wazi mpaka barabara za mitaa, so kipo sehemu nzuri na hakuna ubabaishaji ndg@ karibu uje ujionee