Wanazitumia wao wenyewesasa mnaposema tunamtunzia!!
Huyu mwamba kaongea ukweli mtupuHahah ila Mgogo
kwahiyo we unasapoti biashara ya kikokotoo cha kuwatunzia wastaafu hela zao?Kikokotoo :- somehow kinasaidia kuondoa broke na stress muhimu waangalie namna bora ya kuwapa Elimu
Hamna Mimi sisapoti hayo mambo Ila napenda kuona serikali inaangalia njia bora ya kuwafanya hao wastaafu wasiingie brokekwahiyo we unasapoti biashara ya kikokotoo cha kuwatunzia wastaafu hela zao?
keshashiba sadakaAkili kubwa ametumia mtumishi wa Mungu kwenye hili la kikokotoo.
=====
Pastor Daniel Mgogo: Kabla mtu hajastaafu apewe chake, siku ile anasaini fomu ya kwamba nimestaafu, muamala umesoma.
Kuna hii mbinu wanasema tukiwapa zote wanatumia vibaya, sasa kwani mtu akinywea zote nyie shida yenu nini? Mtu akipewa akahonga zote, si ndio akili yake ilikomtuma, sasa mnaposema tunamtunzia!!
Yaani vitu vingine jamani, yaani mshahara nifanye mimi halafu nyinyi mnaogopa eti tukikupa zote mtatumia vibaya, nyinyi ni nani kwanza? Ni nani kwenye maisha yangu mimi? Mpaka mseme mnanitunzia mimi, kwahiyo inamaana muda wote mliofanya kazi na mimi, nilifanya kama zezeta, zuzu ambaye sijitambui!
View attachment 2984481
Ndio maana Yao kubwa, na why wabunge wakivunja bunge wanapewa chao bila kutumia kikokotoo? hapa Kuna fumbo kubwa sanaIna maana ukistaafu unakuwa chizi ndiyo maana wanakutunzia pesa zako
Sio kweli, na alichokiongea ni ukweli mtupukeshashiba sadaka
BalaaaAkili kubwa ametumia mtumishi wa Mungu kwenye hili la kikokotoo.
=====
Pastor Daniel Mgogo: Kabla mtu hajastaafu apewe chake, siku ile anasaini fomu ya kwamba nimestaafu, muamala umesoma.
Kuna hii mbinu wanasema tukiwapa zote wanatumia vibaya, sasa kwani mtu akinywea zote nyie shida yenu nini? Mtu akipewa akahonga zote, si ndio akili yake ilikomtuma, sasa mnaposema tunamtunzia!!
Yaani vitu vingine jamani, yaani mshahara nifanye mimi halafu nyinyi mnaogopa eti tukikupa zote mtatumia vibaya, nyinyi ni nani kwanza? Ni nani kwenye maisha yangu mimi? Mpaka mseme mnanitunzia mimi, kwahiyo inamaana muda wote mliofanya kazi na mimi, nilifanya kama zezeta, zuzu ambaye sijitambui!
View attachment 2984481
Kwa uwezo wako ni sawaSio k
Sio kweli, na alichokiongea ni ukweli mtupu
Yeye anakula na kunywa sadaka, hajui mateso ya wastaafu, anatamani wapewe zote ili wampelekee yeye ajijengee ufalmeAkili kubwa ametumia mtumishi wa Mungu kwenye hili la kikokotoo.
=====
Pastor Daniel Mgogo: Kabla mtu hajastaafu apewe chake, siku ile anasaini fomu ya kwamba nimestaafu, muamala umesoma.
Kuna hii mbinu wanasema tukiwapa zote wanatumia vibaya, sasa kwani mtu akinywea zote nyie shida yenu nini? Mtu akipewa akahonga zote, si ndio akili yake ilikomtuma, sasa mnaposema tunamtunzia!!
Yaani vitu vingine jamani, yaani mshahara nifanye mimi halafu nyinyi mnaogopa eti tukikupa zote mtatumia vibaya, nyinyi ni nani kwanza? Ni nani kwenye maisha yangu mimi? Mpaka mseme mnanitunzia mimi, kwahiyo inamaana muda wote mliofanya kazi na mimi, nilifanya kama zezeta, zuzu ambaye sijitambui!
View attachment 2984481
Hapana. Sadaka sio ya mchungaji.keshashiba sadaka
Unajua maana ya sadaka?. Tatizo mmekaririshwa maneno msiyojua matumizi yake.Yeye anakula na kunywa sadaka, hajui mateso ya wastaafu, anatamani wapewe zote ili wampelekee yeye ajijengee ufalme