gari aina ya PASSO inauzwa
bei ni milion 7 kwa mawasiliano ni PM tufanye biashara
cc 980
imetembea KM 37000
Ni 4 cylinder
ishalipiwa ushuru wote ipo barabarani
gari aina ya PASSO inauzwa
bei ni milion 7 kwa mawasiliano ni PM tufanye biashara
cc 980
imetembea KM 37000
Ni 4 cylinder
ishalipiwa ushuru wote ipo barabarani
Hizi gari ukiziingiza mwenyewe inagharimu 6.8mil kila kitu. Uko juu sana kwa Passo. Labda uwe umeiongezea value kama Mziki Mzito, Rim kali, Bumpers kubwa, Chromes ndio itauzika kwa gari ya aina yako!!