Thom Munkondya Member Joined Feb 8, 2019 Posts 94 Reaction score 124 Sep 12, 2019 #1 Pagale linauzwa lipo mbezi msakuzi. Details: Ni nyumba kubwa na ya kisasa, yenye vyumba vinne vya kulala, viwili masters na viwili vya watoto, sebule na dining yake, jiko na store yake. Haijamalizika kama inavyoonekana Documents Kiwanja kimepimwa kina ukubwa wa sqm 600(20*30) na mawe yamepandwa ila hati ipo kwenye mchakato. Hati itatoka kwa jina la mnunuzi. Location: Mbezi msakuzi karibu na kituo cha afya cha hekima. Mtaa ni mzuri sana na umejengeka Bei: Tsh. Million 17tu (mazungumzo yapo). Mawasliano: Call&whatsapp;0765532858 Call&whatsapp;0673540985
Pagale linauzwa lipo mbezi msakuzi. Details: Ni nyumba kubwa na ya kisasa, yenye vyumba vinne vya kulala, viwili masters na viwili vya watoto, sebule na dining yake, jiko na store yake. Haijamalizika kama inavyoonekana Documents Kiwanja kimepimwa kina ukubwa wa sqm 600(20*30) na mawe yamepandwa ila hati ipo kwenye mchakato. Hati itatoka kwa jina la mnunuzi. Location: Mbezi msakuzi karibu na kituo cha afya cha hekima. Mtaa ni mzuri sana na umejengeka Bei: Tsh. Million 17tu (mazungumzo yapo). Mawasliano: Call&whatsapp;0765532858 Call&whatsapp;0673540985
Loveeness78 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 280 Reaction score 294 Sep 14, 2019 #2 Kama ni milion 8 ningekuja kuripia jumapili
Thom Munkondya Member Joined Feb 8, 2019 Posts 94 Reaction score 124 Sep 14, 2019 Thread starter #3 Loveeness78 said: Kama ni milion 8 ningekuja kuripia jumapili Click to expand... [emoji16][emoji16] hapana boss ni milion 17
Loveeness78 said: Kama ni milion 8 ningekuja kuripia jumapili Click to expand... [emoji16][emoji16] hapana boss ni milion 17
dtj JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 1,335 Reaction score 1,390 Sep 14, 2019 #4 Loveeness78 said: Kama ni milion 8 ningekuja kuripia jumapili Click to expand... Sema Kulipa sio Kuripa. Bure kabisa!
Loveeness78 said: Kama ni milion 8 ningekuja kuripia jumapili Click to expand... Sema Kulipa sio Kuripa. Bure kabisa!