E engmtolera JF-Expert Member Oct 21, 2010 5,150 1,437 Jul 29, 2012 #1 Bout Summary CornerRound 1Round 2Round 3PointsWTotalPointsWTotalPointsWTotalRED222 2 M222 2 S333 3 SBLUE988 8 M555 5 S776 7 S RED VS BLUE
Bout Summary CornerRound 1Round 2Round 3PointsWTotalPointsWTotalPointsWTotalRED222 2 M222 2 S333 3 SBLUE988 8 M555 5 S776 7 S RED VS BLUE
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,063 Jul 29, 2012 #2 nakumbuka enzi za Lucas msomba,emmanuel mlundwa,titus simba (rip),mzee kinyogoli,enzi hizo medali tulipata hata kama sio za olyimpics.
nakumbuka enzi za Lucas msomba,emmanuel mlundwa,titus simba (rip),mzee kinyogoli,enzi hizo medali tulipata hata kama sio za olyimpics.
M maliyamungu JF-Expert Member Aug 14, 2011 564 412 Jul 29, 2012 #3 si wampeleke cheka au inakuaje kuna sheria zake wadau
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 Jul 29, 2012 #4 tanzania katika michezo ni kichwa cha wenda wazimu................
Gang Chomba JF-Expert Member Feb 29, 2008 20,301 4,681 Jul 29, 2012 #5 kuna aliyeangalia hizo ndundi? kama yupo basi na anijulishe kama huyo Bondia hakutapika...
Opaque JF-Expert Member Oct 24, 2008 1,359 719 Jul 29, 2012 #6 maliyamungu said: si wampeleke cheka au inakuaje kuna sheria zake wadau Click to expand... Cheka ameshajiunga ngumi za kulipwa, haruhusiwi kwenda Olimpiki. Wanatakiwa mabondia wa ngumi za ridhaa. Ndio maana huwezi pia kuwaona akina Tyson, Evander, Haye, Klitschko au Chisora kule Olimpiki.
maliyamungu said: si wampeleke cheka au inakuaje kuna sheria zake wadau Click to expand... Cheka ameshajiunga ngumi za kulipwa, haruhusiwi kwenda Olimpiki. Wanatakiwa mabondia wa ngumi za ridhaa. Ndio maana huwezi pia kuwaona akina Tyson, Evander, Haye, Klitschko au Chisora kule Olimpiki.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Jul 29, 2012 #7 maliyamungu said: si wampeleke cheka au inakuaje kuna sheria zake wadau Click to expand... kwa anajulikana kwa wakubwa huyo..
maliyamungu said: si wampeleke cheka au inakuaje kuna sheria zake wadau Click to expand... kwa anajulikana kwa wakubwa huyo..