Ogopa kushiriki uovu na mwenye mamlaka anapokaribia kuondoka utalazimika kuuawa kuficha maovu. Soma kisa hiki cha kweli

Mkuu, ajira zetu ndiyo zinatufanya tushirikishwe, sasa tukikataa kushirikishwa uovu na mabosi wetu maisha yataendaje? Vibarua vitaota nyasi. Kumbuka tuliapa kulinda na kutunza siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…