Tako la......Aisee, inaitwa harrier ..... La nyani
Tako la......
hivi inaitwa hivyo kweli? Au mleta offer kaamua tu kuipa hiyo aka.
Tobaa, haya poa mkuuNdio wanaita hivo zipo hizo tako la nyani na model nyingine tena huyo katumia tafsida wengine wanaita mk*nd wa nyani
*soma hii tafadhal sana ina umuhimu sana*
Hii hariier tako la nyan au new model
Cc 2400
Four cylinderView attachment 924539
Nipe 13m tu
Ingine imenock
Dukan wanauza 3m
So utakhwa umenunua 16m
*Ukitoa 3m kabla unafungiwa ingine unatest chombo unamalizia iliyobak*
Hii ni offer ya november
Apo moshi usiende kizembe bwana alaah
Ipo 10m kama hutojali
hivi inaitwa hivyo kweli? Au mleta offer kaamua tu kuipa hiyo aka.
Duuh,haya nimeelewa sasa 😀😀, hao nyani maungo yao yamekaa vibaya lkn