ricostrong
Member
- Nov 15, 2016
- 43
- 6
Chanika zngziwaChanika shmu gan Mr?
Mkuu vya mil 1 vnapatkana lkn vinakua umbal kama wa km 2.5 kutoka standCha 1m kinapatikana mkuu?
Umeme umefika kiongoziMkuu vya mil 1 vnapatkana lkn vinakua umbal kama wa km 2.5 kutoka stand
Poa mkuuSawa tu nakuja kuona
Kwny viwanja vya ml1 umeme bado ila vya 2.5ml umeme ushafikaUmeme umefika kiongozi
ngoja nisubiri mafao yangu ya NSSF nijeMkuu vya mil 1 vnapatkana lkn vinakua umbal kama wa km 2.5 kutoka stand