S Suma50 Member Joined Feb 5, 2013 Posts 7 Reaction score 1 Mar 7, 2013 #1 Nyumba mbili zilizopo kwenye eneo moja pamoja na feremu 4 zinauzwa eneo la mbagara kuu.wasiliana na mm kwenye 0718097972
Nyumba mbili zilizopo kwenye eneo moja pamoja na feremu 4 zinauzwa eneo la mbagara kuu.wasiliana na mm kwenye 0718097972
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 20,455 Reaction score 36,446 Mar 7, 2013 #2 Suma50 said: Nyumba mbili zilizopo kwenye eneo moja pamoja na feremu 4 zinauzwa eneo la mbagara kuu.wasiliana na mm kwenye 0718097972 Click to expand... Matangazo kama haya ndio huwafanya watu wawaone matapeli!! Kila siku elimu inatolewa lakini wapi!! Haya Sema nyumba ziko mbagala mtaa gani Zina hati au ni hizi zetu za kienyeji Weka bei ya ukweli Weka picha Tuambie swala la maji na umeme hapo likoje sawaeee??!
Suma50 said: Nyumba mbili zilizopo kwenye eneo moja pamoja na feremu 4 zinauzwa eneo la mbagara kuu.wasiliana na mm kwenye 0718097972 Click to expand... Matangazo kama haya ndio huwafanya watu wawaone matapeli!! Kila siku elimu inatolewa lakini wapi!! Haya Sema nyumba ziko mbagala mtaa gani Zina hati au ni hizi zetu za kienyeji Weka bei ya ukweli Weka picha Tuambie swala la maji na umeme hapo likoje sawaeee??!