Tafuta mwanaume akuoe upate wa kukulea, achana na habari za kudanga!Dangaa Dangaaa
jitokeze unipangie chumba namba 1
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Dangaa Dangaaa
jitokeze unipangie chumba namba 1
weka pichaHabari wana Jf. Kuna nyumba 3 znapangishwa maeneo ya savei mwenge kama ifuatavyo.
1.chumba sebule jiko toilet 180,000/= kwa mwezi.
2. Vyumba viwili sebule jiko na toilet 280,000/= kwa mwezi.
3. Vyumba 3 sebule kubwa jiko na toilet 2 yaani moja master na nyingine ni public toilet. Bei yaake 350,000/kwa mwezi.
Mengineyo nyumbaa zote zinapangishwa bila kupitia ka dalali. nyumba zote zipo karibu na mliman city kama dk 6 hivi. Hakuna fence ila magari yanaingia hadi mlangoni kwako. Ulinzi upo wa kutosha. Maji yapo 24/7. Wanao hitaji piga 0755063076.
NimefikaDangaa Dangaaa
jitokeze unipangie chumba namba 1
Npo hapaDangaa Dangaaa
jitokeze unipangie chumba namba 1
NipangieNpo hapa
Unipangie ,na Gari ninunulieNimefika
UsihofuUnipangie ,na Gari ninunulie
nataka nabpamba kali uninunulie...
[emoji12]
Nije pm?Nipangie
Na Gari uninunulie
Nitupie pamba kali na mm wanisifie..[emoji12]
Kwanza umeolewa??? Maana siwezi kuhudumia mke wa mtu mimiDangaa Dangaaa
jitokeze unipangie chumba namba 1
kujaNije pm?
Dangaa Dangaaa
jitokeze unipangie chumba namba 1
NoooooKwanza umeolewa??? Maana siwezi kuhudumia mke wa mtu mimi
kwani madanga wanataka na zawadiUsihofu
Vipi zawadi ya kubalikiwa unayo ?
[emoji23]zawadi ya kubalikiwa ni ziggokwani madanga wanataka na zawadi