....mbona picha za ndani hakuna, isije ikawa umepiga kwa nje mjengo wa watu uje kutubamiza....
....mbona picha za ndani hakuna, isije ikawa umepiga kwa nje mjengo wa watu uje kutubamiza....
Tunataka za 300khiyo laki tano ni kwa zote mbili?
duh haya mkuuHapana. Kila moja. Ukilipa mwaka inapungua.
Kwani huwezi kupiga picha kwa ndani kwenye mjengo wa mtu?....mbona picha za ndani hakuna, isije ikawa umepiga kwa nje mjengo wa watu uje kutubamiza....
Wewe utakuwa unaishi nyumbani kwa wazazihiyo laki tano ni kwa zote mbili?