House4Rent Nyumba zinapangishwa Kigamboni

NANGAI MSUMI

Senior Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
152
Reaction score
106
Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, Jiko, store, dining room, sitting room,,public toilet.. Mazingira mazuri.

Nyumba ipo Kigamboni Kisiwani.

0652180400

 
Iv kisiwani ni wapi na vijibweni ni wapi kunanichangany san Aya maeneo
 
Iv kisiwani ni wapi na vijibweni ni wapi kunanichangany san Aya maeneo
Kisiwan ipo ndani ya vijibwen. Vijibwen ni kata ambayo ndani yake Kuna mitaa 5. Ndani ya hyo mitaa ndo Kuna Kisiwan pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…