bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 743
kasema hati ipo chukua mkuuIna hati?
Nyumba ina hati mkuuIna hati?
Malipo yote yanafanyika bank.hiyo nyumba ina punguzo la bei au? na utaratibu wa ulipaji unakuwaje? Unamaanisha Mbweni ya wapi?
Mbweni ni hii barabara ya bagamoyo roadu unapita tegeta kabla hauja fika bunju una shuka kituo kinaitwa boko magengeni hapo utakuta njia ya kwenda mbweni mkono wa kulia barabara zote ni rami. Yani mkeka mpaka unafikaBweni ndo wapi??
Nyumba ipo mbweni barabara ya bagamoyo road unapita tegeta.Iko wapi?!
Mbweni ni hii barabara ya bagamoyo roadu unapita tegeta kabla hauja fika bunju una shuka kituo kinaitwa boko magengeni hapo utakuta njia ya kwenda mbweni mkono wa kulia barabara zote ni rami. Yani mkeka mpaka unafika
Ha ha ha du! Sawa mkuu kwa wewe wa mabwe pande utashukia kushoto ila ukitokea mjini utashukia kulia.Yaani nikishuka mkono wa kulia wakati nitaanzia safari ya kuja kuona nyumba Mabwepande, tafika kweli?
Nyumba ipo mbweni barabara ya bagamoyo road unapita tegeta.