Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Philips,Arusha.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Nyumba ya vyumba 3 inapangishwa nyuma ya Philips super market,Arusha,mita 100 toka Moshi/Arusha road.

Vyumba 3,kimoja ni master bedroom
Ina sebule kubwa
Ina dinning area
Ina jiko na stoo
Ina balcony kwa ajili ya kupunga upepo
Ina parking
Nyumba yote ni full gypsum na floor tiles

INA MITA YAKE YA MAJI NA UMEME(LUKU)
Ina fensi
Nyumba ni ya ghorofa na nyumba inayopangishwa ni floor ya kwanza.

Picha zimegoma kuapload,ikiwa unahitaji nitumie email yako.

niPM.
Bei: 500,000/=TSHS kwa mwezi,kodi inatakiwa ilipwe si chini ya miezi 6.

Asanteni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…