ipo karibu na shule ya secondary feza, ni vyumba vitatu vya kulala,master moja,sebule kubwa,uwanja mkubwa,geti na iko baribarani kabisa.. ni laki 8 kwa mwezi,malipo mwaka moja.. interested ani pm
Tatizo hiyo njia ni mbovu sana kipindi cha mvua fanyeni mpango mtengeneze hiyo barabara kiwango cha changarawe maana kuna matajiri wengi pande za hapo.