Utahamia Mbeya lini mkuu?
kuna nyumba mpya Iwambi 1 Master BR + 1 Normal BR, Jiko, sitting, 2 veranda, maji, eneo la nje (950 SQM) kwa sasa umeme bado japo nmeshalipia Tanesco ila zone yetu haijafikiwa na kila siku wanapiga longolongo za hakuna meter.
Baada ya kupata umeme bei itakua 200K kwa mwezi