Nyumba ya kupanga inatafutwa, iwe na vyumba viwili vya kulala na kimoja ni master na choo cha public kizuri, sebule, jiko safi, stoo na vyumba vingine muhimu, maeneo kuanzia kurasini, chang'ombe, wiles temeke, majumba sita, segerea njia panda.
Natanguliza shukrani.