Natafuta nyumba ya kupanga Arusha , kodi isizidi 200,000, mwendo wa gari kutoka katikati ya mji usizidi dakika 15, nyumba iwe na vyumba 2, chumba kimoja self, sebule, choo ndani.
Nina nyumba ya vyumba vitatu(kimoja master) sitting room,dinning room,kitchen,public toilet,parking kubwa,fence na garden.Nyumba ina meter ya LUKU na ina kisma cha maji na tanki lake.Bei laki sita na nusu.Nyumba ni mpya na full tiles nyumba nzima pia ina makabati ya ukutani vyumba vyote pamoja na jikoni pia.Nyumba ipo Morovian area (kati ya Mianzani na Triple A night club) mita 300 toka Moshi/Namnga road.call/text 0752489529