Nyumba ya Kisasa Inauzwa Dar

Fukara

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
1,624
Reaction score
931
Ipo -Dar es salaam Tz
Mahali-Kimara Baruti via morogoro road
--------------------------------
Ukubwa wa Kiwanja -
Nyaraka za umiliki Ina-mkataba wa mauziano Toka serikali za mtaa
--------------------------------
Nyumba kubwa na inakaliwa na kwenye nyumba imejengwa kisasa
Yenye vyumba vitatu vukubwa vyakukalia kimoja ni #master#dining#sebule kubwa#jiko#choo#bafu la ndani kwa wageni,

KUHUSU MIUNDOMBINU
Kama #maji # umeme vipo pia #barabara inafika kwa gari ni mita 800 mpaka barabarani.
---------------------------------
Bei inauzwa TSH 150 milioni.

Kwa mawasiliano 0712 355025
 
Kuna hati hapo ya wizara ya ardhi?
 
Dah, yani kama ulichuma awamu ya 4 huu ndio muda wa kumiliki mjengo kwa bei ya mandazi!
 
Hahaha madalali Bana.

Mmoja ameitangaza nyumba hii hii mahali humu humu kuwa anaiuza Mil. 250, mwingine hapa anatuambia 150,,, sasa sijui tushike lipi.?
 
Km una hela ya kununua piga cm ujue ushike lipi, we vp? Kwann maskini mna maneno ya chooni, ungekuwa serious buyer ungepga cm....! Madalali wanakuhusu nn?
Hahahaa. Eti masikini!

Huoni kwamba kwa matangazo haya mawili yanayokinzana mnachanganya wanunuzi wanaahindwa kujua ipi ni bei halisi?
 
Hahahaa. Eti masikini!

Huoni kwamba kwa matangazo haya mawili yanayokinzana mnachanganya wanunuzi wanaahindwa kujua ipi ni bei halisi?

Namshangaa sana jamaa anapoleta ukali usio na kichwa wala miguu wakati wao wenyewe ndio wanaowachanganya wateja!!!
 
dalali kakasirika anakasirika nn sasa yani watuwaibiwe wakae kimya?mshambaa nn ww dalali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…