J jojujonicas Member Joined Aug 22, 2012 Posts 46 Reaction score 36 Jan 21, 2017 #1 Ipo tabata segerea (kituo... kwa bibi) Mita 100 kutoa kwenye rami Ipo ndani ya gate na fance kubwaa. Parking ya magali zaidi ya 3. Maji na umeme. Bei yake ni laki 3 na nusu kwa mwezi. Piga simu: 0653930391
Ipo tabata segerea (kituo... kwa bibi) Mita 100 kutoa kwenye rami Ipo ndani ya gate na fance kubwaa. Parking ya magali zaidi ya 3. Maji na umeme. Bei yake ni laki 3 na nusu kwa mwezi. Piga simu: 0653930391
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,634 Jan 21, 2017 #2 jojujonicas said: Ipo tabata segerea (kituo... kwa bibi) Mita 100 kutoa kwenye rami Ipo ndani ya gate na fance kubwaa. Parking ya magali zaidi ya 3. Maji na umeme. Bei yake ni laki 3 na nusu kwa mwezi. Piga simu: 0653930391 Click to expand... Sasa ile safari ya kuelekea dodoma imewadia,Mkuu kama wataka wateja kweli punguza bei
jojujonicas said: Ipo tabata segerea (kituo... kwa bibi) Mita 100 kutoa kwenye rami Ipo ndani ya gate na fance kubwaa. Parking ya magali zaidi ya 3. Maji na umeme. Bei yake ni laki 3 na nusu kwa mwezi. Piga simu: 0653930391 Click to expand... Sasa ile safari ya kuelekea dodoma imewadia,Mkuu kama wataka wateja kweli punguza bei
R rozaliass123 Member Joined Jan 15, 2017 Posts 9 Reaction score 1 Jan 21, 2017 #3 Ina vyumba vingapi vya kulala? Toa maelezo vizuri.
J jojujonicas Member Joined Aug 22, 2012 Posts 46 Reaction score 36 Jan 22, 2017 Thread starter #4 rozaliass123 said: Ina vyumba vingapi vya kulala? Toa maelezo vizuri. Click to expand... Hapo kuna nyumba 2 na kila nyumba moja ina vyumba vya kulala 2, jiko, store, sitting room, public toilets.
rozaliass123 said: Ina vyumba vingapi vya kulala? Toa maelezo vizuri. Click to expand... Hapo kuna nyumba 2 na kila nyumba moja ina vyumba vya kulala 2, jiko, store, sitting room, public toilets.
J jojujonicas Member Joined Aug 22, 2012 Posts 46 Reaction score 36 Jan 22, 2017 Thread starter #5 mazina said: Sasa ile safari ya kuelekea dodoma imewadia,Mkuu kama wataka wateja kweli punguza bei Click to expand... Bei ishapunguzwa mkuu ilikuwa laki 4.
mazina said: Sasa ile safari ya kuelekea dodoma imewadia,Mkuu kama wataka wateja kweli punguza bei Click to expand... Bei ishapunguzwa mkuu ilikuwa laki 4.