Nyumba nyakato national mwanza

NGARUKA

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
402
Reaction score
71
Nyumba inauzwa Nyakato National.
ina vyumba 4 vya ndan master 1 na vya kawaida
v3.dinning room na sitting room.
ina vyumba vi3 vya nje na bafu na choo cha nje.
iko karibu na s/m gedeli pia karibu na barabara ya
Buswelu-mjin. ina HATI,UMEME na MAJI
bei yake ni 200mil. maelewano yapo.nashindwa
kuapload picture.ukiwa interested nitumie sms
namba yangu ya wahatsapp ni +255767791405.
MAWASILIANO. 0767791405/0789998398.
KARIBUNI WOTE
 
kaka yako.
unapajua nyakato national? unaijua aina ya nyumba?KARIBU SANA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…