Madalali katka Ubora wao,
Angalia hapa Bei na bei ya Msolopa utajua kwamba hawa jamaa wanapiga sana hela,lakin siku zote maisha yao yapo pale pale kwa kazi hii,aisee,unaweza kukuta father house anataka 400m tu
Link hii
Spacious 4 Bdrm Double Storey House at Mbweni Malindi For Sale in Dar Es Salaam, Tanzania