Mwanza sales
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 193
- 89
Mkuu ungepiga picha na hati ya nyumba ukatumiamo humu ungefanya jambo la mbolea sana.
Mkuu ungepiga picha na hati ya nyumba ukatumiamo humu ungefanya jambo la mbolea sana.
We acha utapeli,hati ya nyumba aiweke humu kirahisi ili mtoe copy mkapige hela eee.
Wabongo kwa wizi?
Mnunuaji aende akaione,na afuatilie uhalali then atoe pesa.Hata hivyo mwanza bei kwa nyumba hizo ni za kawaida.Na hujui mtu kafikwa na shida gani.
Mkuu ungepiga picha na hati ya nyumba ukatumiamo humu ungefanya jambo la mbolea sana.
Ni nyumba kubwa na ya kisasa ipo nyegezi chuo cha SAUT ina vyumba 4,sitting kubwa 2,dinning na jiko 1,choo na bafu.bado madirisha na milango umeme na maji yako.kwa anaehitaji bei ni milion 15.tuwasiliane kwa 0788752672
We jamaa kiwanja kina kina HATI au hakina funguka hapo
Mkuu ungepiga picha na hati ya nyumba ukatumiamo humu ungefanya jambo la mbolea sana.
Hilo jina lako hakuna atakae kuamini
Mkuu hilo jina lina nini mpaka nisiaminike?
Eneo limepimwa ila hati kama document bado hazojatoka
Narudi mwanza December 20 hivi,kama itakuwepo nitakuja tujadili biashara