Mkuu hio heading utata..., "Nyumba Isiyomalizika.. " ina maana haiwezi kumalizika, kwahio kwenye jamii yenye imani potofu inaweza kudhani kwamba hapo kuna mizimu inayofanya nyumba isimalizike
Mkuu unaonekana unaamini sana ushirikina aisee.
Kwa nini inauzwa........?....