Nyumba inauzwa

quintella

Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
20
Reaction score
1
Nyumba zinauzwa mwenge karibu na tra, ni za mmiliki mmoja, na zipo kwenye kiwanja kimoja,
zina hati. Nyumba zote zina vyumba vitatu vya kulala kimoja master, dining, sebule,
jiko, na choo na bafu public pia kuna kisima kinafanya kazi.

Bei ni shillingi 550,000,000/=.

Kwa mwenye kuhitaji tafadhali ampigie mwenye nyumba kwenye namba 0787 280130.

Karibuni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…