Natal Vice
Member
- Dec 8, 2013
- 16
- 8
bei gani basi jamani
65000000 maelewano yapo ukitaka kwenda kuiona piga simu hizo hapo juu anytime.
Hii ni milioni au bilion? nipelekeni shule jamani, mi naona duble duble tu.
65 milioni.
Samahani kwa kuuliza, ukubwa wa plot yote ni kiasi gani?
Na ukubwa wa nyumba ni kiasi gani?
Kwa maana ingine:
Total Plot size (In Square meter)
Built Up Area (In Square meter)