Lio 002 JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 436 Reaction score 68 Jun 5, 2014 #1 Habari wana jamvi, Kuna nyumba inauzwa maeneo ya mwananyamala kwa kopa,ipo kwenye eneo zuri haliingii maji na bei ni shilingi million themanini (80000000) kwa yeyote aliye tayar naomba ani pm au anipigye kupitia namba 0788562816
Habari wana jamvi, Kuna nyumba inauzwa maeneo ya mwananyamala kwa kopa,ipo kwenye eneo zuri haliingii maji na bei ni shilingi million themanini (80000000) kwa yeyote aliye tayar naomba ani pm au anipigye kupitia namba 0788562816
samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,608 Reaction score 4,822 Jun 5, 2014 #2 Weka picha mkuu
Lio 002 JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 436 Reaction score 68 Jun 5, 2014 Thread starter #3 samora10 said: Weka picha mkuu Click to expand... Kwa bahati mbaya kwa sasa hivi sikufanikiwa kuipiga picha Ila kama upo tayar tunaweza tuka wasiliana ukaja kuiona
samora10 said: Weka picha mkuu Click to expand... Kwa bahati mbaya kwa sasa hivi sikufanikiwa kuipiga picha Ila kama upo tayar tunaweza tuka wasiliana ukaja kuiona