Kichwa cha habari chajieleza hapo juu.nyumba ina vyumba vitano vya kulala, choo, jiko n.k.hipo tabata garage dakika 5kutoka main road (mandela road). Nataka milioni mia nne (400,000,000/).nicheki kwa 0741 411041 au 0756 587175.
Watanzania kweli matajiri mimi na umri wangu huu nilionao sijawahi kuziona milioni 400 kwa macho yangu ila kwenye picha
nikiwa nazo sijuwi hata nitafanya nini
Watanzania kweli matajiri mimi na umri wangu huu nilionao sijawahi kuziona milioni 400 kwa macho yangu ila kwenye picha
nikiwa nazo sijuwi hata nitafanya nini
kweli sisi watanzania wezi
Hivi kama hii nipesa ya kawaida hiyo pesa nyingi inapatikana vipi?
Mimi ninaowalaumu ni TRA na wizara ya fedha
Ikiwa kipato cha mtanzania ni milioni moja kwa mwezi na matumizi ni milioni nne lazima kutakuwa na namna nyengine ya kuingiza zaidi ya milioni nne za ziada na zote hizo lazima zitakuwa ni za wizi na anayeibiwa ni serikali halafu hapo hapo tunailaumu serikali eti maisha magumu na elimu imeshuka na sisi ndio tunaoifanya hali iwe ngumu
Kama wananchi hatutobadilika hata aje raisi gani hali itazidi kuwa ngumu milele
ni maoni yangu tu samahani kama nitakukwaza