Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha - vitano kushoto vitano kulia)
: Ipo karibu kabisa na kituo cha Msongola
: Ina eneo kubwa la wazi mbele na nyuma BEI : Milioni HAMSINI NA TANO (55,000,000)