Nyumba inauzwa

jec2001tz

Member
Joined
Sep 10, 2010
Posts
15
Reaction score
3







Ina bedroom 2, moja ni selfcontained
Sitting room iliyoungana na dining
public toilet na bathroom

Ipo Arusha maeneo ya kwa mrefu, kama mita 300 kutoka barabara kuu ya Moshi-Arusha. Na ukiwa unatokea Moshono ni kama mita 600 kutokea Moshono stand au Club ya WORLD GARDEN. Haipo katika surveyed area. Kwa aliye serious anaweza kunipigia kwa namba 0754378269 tukafanya biashara.

Bei ni 35m. Mazungumzo yapo kwa atakayehitaji.

 
Ipo kwenye kiwanja cha ukubwa gani?
Kiwanja kina hati?
Umeme upo umbali gani?
 
Ipo kwenye kiwanja cha ukubwa gani?
Kiwanja kina hati?
Umeme upo umbali gani?



Kipo kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 20 kwa 20.
Kiwanja hakina hati.
Umeme upo mita 25 hivyo ni sehemu isiyohitaji nguzo.
Maji ya yameshaingizwa ndani na plumbing ilishafanyika
 
Imejengwa kwa tofali gani, zito au jepesi, vipi barabara ya gari inafika hadi nyumbani au ni uchochoro?
 
Imejengwa kwa tofali gani, zito au jepesi, vipi barabara ya gari inafika hadi nyumbani au ni uchochoro?

Imejengwa kwa tofali nzito mkuu, barabara ipo ya gari mpaka kwenye nyumba. Bei nayo inaweza poa sana
 
Hayo maeneo ya kwa mrefu nayapenda, ipo pesa nasubiria maala ikitoka mapema nitakupigia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…