Nyumba hii inauzwa ipo vingunguti karibu na sheli jijini dar es salaam bei ni maelewano kwa mawasiliano zaidi wasiliana katika namba 076437001,au 0718 370001
Mods, anzisheni jukwaa la RECYCLE BIN, mtu akiweka Post kwenye jukwaa lisilo sahihi, hiyo Post ipelekwe kwenye Recycle Bin, kazi ya kuipeleka kwenye Jukwaa sahihi aifanye mwenye Post.