Sasa unataka uheshimike wakati unafanya Biashara kama uko Karne ya 16, kila leo biashara ni matangazo sio unaweka No ya simu halafu ukiulizwa unasema mheshimiane..nani akuheshimu mteja wako wewe ndio unatakiw kumheshimu maana anakupa wewe ulaj sio wewe na njaa zako tena mteja akuheshimu...