kwenye matangazo utaimba wee kuhusu bei,ila watu bado hawajifunzi.kutoweka bei ni kutojiamini.na mfanya biashara unatakiwa ujiamini.hata kama bei ni ya juu wewe weka tu.biashara inatakiwa iwe na mvuto wa kumfanya mtu awe na interest na kile kitu.weka vitu vinavyotakiwa bwana kama bei,maelezo zaidi ya nyumba na picha