NYUMBA INAUZWA

quant

Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
17
Reaction score
23
Habari ndugu zangu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kuwa nyumba inauzwa, Nyumba hiyo ipo eneo la kivule, banana dar es salaam.

Nyumba hyo ina vyumba vitano ndani,
Master bedroom
4 single bedrooms
Store
Dining
Seating room
Public toilets inside,

Pia ina eneo kubwa kwa nje ambalo limejengwa vyumba vya uwani ambavyo havijamaliziwa kujengwa, na msingi wa fensi pamoja na eneo la parking.

Nyumba haina tatzo lolote kifamilia au mgogoro wowote, hati zipo kamili na haidaiwi chochote,

Sababu za kuuzwa ni kukamilisha mambo mengine kibiashara,

Ukubwa wa eneo ni square meter 655, na bei ni sh 25 million,

Kwa mteja ambaye yuko serious tuwasikiane kwa namba 0674 637243

Haina udalali

Pia kuna baadhi ya picha unaweza kuiona hapo chini



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…