Nyumba Inauzwa

Bak byzo I.T

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
266
Reaction score
125

FOR SALE/ NYUMBA INAUZWA TSH.75 MILLIONS
Iyo nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, kitchen na stoo ya nje na choo cha ziada cha nje.

Eneo la kiwanja chake ni Futi 50 kwa futi 60 au mita 18 kwa mita 20. Nyumba tayari ina umeme, maji, ipo ndani ya fensi, kuna parking ya gari nk.

Chumba cha master kina choo chake ila vingine viwili havina lakini kuna bafu na choo cha public kwa ndani ya nyumba na pia kwa nje kuna choo pamoja na stoo.

Nyumba ipo Dar es salaam eneo la Saku Stend- Mbagala mbele kama unaelekea Chamazi,

Tuwasiliane kupitia namba ya simu ifuatayo 0657131366
 
Mkuu hii ni miongoni mwa zile nyumba za Jenga Uza za Chamazi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…