Nyumba inauzwa

chox1285

Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
20
Reaction score
6
Nyumba nzuri ipo Jirani na VETA ya Airport Dar es salaam,ni 1km kutoka nyerere road. Ina fence ya ukuta na fremu tatu kwa nje. Ina vyumba 3 kimoja ni master na choo cha public nafasi ya kutosha kwa parking ya gari mbili. Bei shilingi milioni 140/= Maongezi pia yapo. Mawasiliano ni 0658 283200 au 0625 482873
 
Vipi bomoa bomoa maeneo ya Kipawa hayo mkuu?
 
Hamna bomoa bomoa ni maeneo ya makazi kabisa. Na kuhusu majirani ni kwamba kila mtu anafence yake ya ukuta. Yaani kutoka nyumba ilipo hadi VETA ilipo ni mita 100 tu.
 
Vipi bomoa bomoa maeneo ya Kipawa hayo mkuu?
Kipawa iliyobomolewa ni yakule inapojengwa terminal III ya ndege na nyumba ilipo ni ng'ambo ya pili baada ya kuvuka reli ndio unaipita VETA Kipawa then nyumba inafuata
 
bei imetulia ila tu kama hakuna tatizo jingine lolote juu ya eneo hilo na serikali
 
bei imetulia ila tu kama hakuna tatizo jingine lolote juu ya eneo hilo na serikali
Kama unaweza kuja ukaiona itakuwa poa maana opposite ya hii nyumba ni office za serikali ya mtaa. Na mm mwenyewe naishi huku huku.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…