ALEX PETER Senior Member Joined Jan 17, 2012 Posts 117 Reaction score 23 May 24, 2016 #1 House and plot for sale dar es salaam 0712656606 Eneo: kigamboni kibada block 15 Bei: millioni 150 ikikamilika Millioni 120 kama ilivyo. Ina hatimiliki na kiwanja kimepimwa Size : Square meter 708 Ni nyumba kubwa ya vyumba vitatu viwili master bedroom, kimoja single bedroom,kuna sittingroom,dinning room,jiko,store,fence,parking,kuna kisima,umeme upo, pia uwanja umebaki mkubwa sana unaweza jenga nyumba nyingine Contact o whatsapp 0712656606 Attachments 13100816_506901819495995_1594934474635742136_n.jpg 61.5 KB · Views: 64 13118949_506901706162673_3616866209582402616_n.jpg 62.1 KB · Views: 80 13133304_506900686162775_2593492560236970515_n.jpg 59 KB · Views: 97 13139039_506901896162654_4079132313225377059_n.jpg 63.5 KB · Views: 78 13173795_506900742829436_383428487346669024_n.jpg 55.7 KB · Views: 63
House and plot for sale dar es salaam 0712656606 Eneo: kigamboni kibada block 15 Bei: millioni 150 ikikamilika Millioni 120 kama ilivyo. Ina hatimiliki na kiwanja kimepimwa Size : Square meter 708 Ni nyumba kubwa ya vyumba vitatu viwili master bedroom, kimoja single bedroom,kuna sittingroom,dinning room,jiko,store,fence,parking,kuna kisima,umeme upo, pia uwanja umebaki mkubwa sana unaweza jenga nyumba nyingine Contact o whatsapp 0712656606
Man Mvua JF-Expert Member Joined Apr 12, 2016 Posts 2,179 Reaction score 3,525 May 24, 2016 #2 Hizo hela mnavyozitaja ka zinachotwa sehemu, ,,,, au wenzetu mlichota sehemu ???
Man Mvua JF-Expert Member Joined Apr 12, 2016 Posts 2,179 Reaction score 3,525 May 24, 2016 #3 Halafu Kuna nyumba humu ilikuwa inauzwa 68M kali kushinda iyo ya 120M ,hii inathibitisha hufanyi biashara.
Halafu Kuna nyumba humu ilikuwa inauzwa 68M kali kushinda iyo ya 120M ,hii inathibitisha hufanyi biashara.
Kaplizer JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 726 Reaction score 597 May 24, 2016 #4 Man Mvua said: Halafu Kuna nyumba humu ilikuwa inauzwa 68M kali kushinda iyo ya 120M ,hii inathibitisha hufanyi biashara. Click to expand... Middle men hao..
Man Mvua said: Halafu Kuna nyumba humu ilikuwa inauzwa 68M kali kushinda iyo ya 120M ,hii inathibitisha hufanyi biashara. Click to expand... Middle men hao..
Cynic JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 5,144 Reaction score 1,658 May 24, 2016 #5 Man Mvua said: Halafu Kuna nyumba humu ilikuwa inauzwa 68M kali kushinda iyo ya 120M ,hii inathibitisha hufanyi biashara. Click to expand... Hata hivyo hii bado ina bei nzuri mno ukilinganisha na zile za NHC..
Man Mvua said: Halafu Kuna nyumba humu ilikuwa inauzwa 68M kali kushinda iyo ya 120M ,hii inathibitisha hufanyi biashara. Click to expand... Hata hivyo hii bado ina bei nzuri mno ukilinganisha na zile za NHC..