Ahsante.
Huko zenji hamkujui vizuri
Nikutaarifuni tu Wakaazi wa zenji wenye asili ya bara wana vitambulisho vya mzanzibari na wanapiga kura kama kawa hata wazenji wengine hawavipati.
Wamachinga na walinzi wa kimasai mahotelini wanamiliki nyumba na kuzikodisha kwa wenzao.