kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,981 Reaction score 3,635 Jun 25, 2015 #1 Habari wakuu, Nyumba inauzwa ipo Ukonga Mazizini, ina vyumba 3 vya kulala, sebule jiko na choo, bei yake ni Mill 35 negotiable, madirisha na milango yake ipo ambayo bado haijawekwa kwenye nyumba. Karibuni Contact 0713196055 Attachments 1435180903024.jpg 113 KB · Views: 303 1435180946042.jpg 61.8 KB · Views: 264 1435180972393.jpg 72.1 KB · Views: 254 1435181004242.jpg 42.4 KB · Views: 257
Habari wakuu, Nyumba inauzwa ipo Ukonga Mazizini, ina vyumba 3 vya kulala, sebule jiko na choo, bei yake ni Mill 35 negotiable, madirisha na milango yake ipo ambayo bado haijawekwa kwenye nyumba. Karibuni Contact 0713196055
B bigmom Member Joined Jun 21, 2015 Posts 45 Reaction score 4 Jun 25, 2015 #2 Nauza Kiwanja Kivule njiapanda ya shule ukubwa 50/25 mil 7 nichek 0779545500
kunguni wa ulaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 4,131 Reaction score 6,125 Jun 25, 2015 #3 bigmom said: Nauza Kiwanja Kivule njiapanda ya shule ukubwa 50/25 mil 7 nichek 0779545500 Click to expand... Huku mil.7 Kule mil.6. Wewe jamaa wewe kama vile hujielewi. Alafu kwanini unadandia matangazo ya wenzako???? Anzisha Uzi wako
bigmom said: Nauza Kiwanja Kivule njiapanda ya shule ukubwa 50/25 mil 7 nichek 0779545500 Click to expand... Huku mil.7 Kule mil.6. Wewe jamaa wewe kama vile hujielewi. Alafu kwanini unadandia matangazo ya wenzako???? Anzisha Uzi wako
B bigmom Member Joined Jun 21, 2015 Posts 45 Reaction score 4 Jun 25, 2015 #4 Kwendraaa kwani we wako
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,915 Jun 25, 2015 #5 kunguni wa ulaya said: Huku mil.7 Kule mil.6. Wewe jamaa wewe kama vile hujielewi. Alafu kwanini unadandia matangazo ya wenzako???? Anzisha Uzi wako Click to expand... Hahaha,aisee kweli unamfuatilia,anapigwa mtu hapo
kunguni wa ulaya said: Huku mil.7 Kule mil.6. Wewe jamaa wewe kama vile hujielewi. Alafu kwanini unadandia matangazo ya wenzako???? Anzisha Uzi wako Click to expand... Hahaha,aisee kweli unamfuatilia,anapigwa mtu hapo
B bigmom Member Joined Jun 21, 2015 Posts 45 Reaction score 4 Jun 26, 2015 #6 Zanzibar Spices said: Hahaha,aisee kweli unamfuatilia,anapigwa mtu hapo Click to expand... Unadhani kl MTU tapeli ardhi in a panda bei kl siku.so kuwa name heshima
Zanzibar Spices said: Hahaha,aisee kweli unamfuatilia,anapigwa mtu hapo Click to expand... Unadhani kl MTU tapeli ardhi in a panda bei kl siku.so kuwa name heshima