dalali mpole
Member
- Jun 7, 2019
- 9
- 1
Nawe umeliona kumbe.!Nyumba nzuri ila hilo dude mbele ya gari ni sink au..limekaa kama kaburi..linantisha
Nawe umeliona kumbe.!
Ameandika ipo tabata liwitiNyumba kama naifahamu vile . Ipo Tabata Mawenzi?
Ipo tabata liwiti mkuuNyumba kama naifahamu vile . Ipo Tabata Mawenzi?
Hilo ni bati la gari mkuu, ni yale yanayofunika pickup kwa nyuma wala lisikutishe ukiamua unaweza kulitupaNyumba nzuri ila hilo dude mbele ya gari ni sink au..limekaa kama kaburi..linantisha
Bati tu hiloHahahaa..nasubiri ajibu
Ni kweli ipo liwiti, tumsamehe labda hajaangalia vzrAmeandika ipo tabata liwiti
Hata mimi limenishtua kidogoNyumba nzuri ila hilo dude mbele ya gari ni sink au..limekaa kama kaburi..linantisha