Kwa haraka haraka imekaa vizuri , sema sisi malofa hiyo hela hatuwezi kuwa nayo.
Nyumba kali sana.
Ila sema tu mnatuchanganya bei zenu.Hatujui nani Mmiliki na nani dalali.
wewe umesema 200m
Huyu hapa kwenye zoom kaweka 190m,na ukaingalia kila mtu kapost picha za tofauti na mwenzi,which means ni watu tofauti ila nyumba moja
5 Bdrms Self Contained House at Tabata For Sale in Dar Es Salaam, Tanzania
Kwa maana hiyo dalali anakula 10M!