Nyumba mbili zenye vyumba vinne kimoja kikiwa ni master,jiko store,sitting room na dining room kwa kila nyumba moja,
zina eneo la ukubwa wa squire meter 1000 kwa kila moja
bei ni milioni 200kwa nyumba yenye bati jekundu na milioni 170 yenye bati la blue
kwa mawasiliano zaidi piga
0714358610
Wewe dip pub toa maelezo ya kitosha. Je nyumba ina hati au leseni.ya makazi, umeme, maji, je kufikika kwa gari? naona ni nyumba mpya pengine hawajaishi watu. Mwenye nyumba yuko wapi?
Natafuta kiwanja Dar si chini ya sqm 1200!! Na eneo liwe tambalale. Maeneo ya Mbweni, Mbezi, Boko, Kigamboni, Makongo, Toangoma...nk. Nina Tsh.15million. Email yangu ni woowtv@live.co.uk
document zote zipo
ndugu yangu zogwale hata macho ya kuona hauna kama nyumba zina umeme
kingine ndo maana nikaweka namba ya simu kama unahitaji na unamaswali yako ya kuuliza piga simu au pm ujibiwe
Wewe dip pub toa maelezo ya kitosha. Je nyumba ina hati au leseni.ya makazi, umeme, maji, je kufikika kwa gari? naona ni nyumba mpya pengine hawajaishi watu. Mwenye nyumba yuko wapi?
Huyu jamaa dip pub dawa yake ni kutokusoma matangazo yake he is F*** bness man/woman. Hatoi bei anaringa na hajui kwamba wateja wengine wanakuwa derived na bei to call or to pm his F*** phone number.