Nyumba inauzwa Tabata bima

nghoni

Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
11
Reaction score
2
Nyumba IPO sehemu nzuri,kiwanja kimepimwa na ipo kwenye mtaa. Ukubwa wa 100×80 kwa mil 160. Call 0715 129201.
 

Attachments

  • 1412371511405.jpg
    46 KB · Views: 295
  • 1412371536703.jpg
    48.6 KB · Views: 255
kaz kwel kwel nenda kajiulize vzuri
 
Yaan hapo mtu ananunua kiwanja na kwa Tabata kwa kiwanja kilichopimwa ndo bei zake hizo.
 
Bei ni nzuri mkuu kwa ukubwa huo na kwa maeneo hayo.
Upigaji wa picha ndio unakinyima haki ya kuonekana vizuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…