leonard mwenda
JF-Expert Member
- Nov 5, 2015
- 253
- 64
Kama hakuna magumashi n bei sawa na bure ,,, ila nimewaza sana je kiwanja hapo hakijapigiwa hesabu ya kuuzwa??Habari za majukumu:
Nyumba ambayo haijakamilika inauzwa ipo KITUNDA (banana)
Ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, jiko, na choo cha ndani.
Ukubwa wa Eneo; square meter 484 (22×22)
Maji na umeme vipo mpakani mwa nyumba.
Bei 18m.
Attachment below
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
View attachment 700720 View attachment 700721 View attachment 700723 View attachment 700724 View attachment 700725 View attachment 700727 View attachment 700728
Kibeberu, I know unapajua vizuri.Kama hakuna magumashi n bei sawa na bure ,,, ila nimewaza sana je kiwanja hapo hakijapigiwa hesabu ya kuuzwa??
Sijakuelewa mkuu!Being
DalaliAsante mkuu kwa kutujulisha, ni ya kwako au wewe ni dalali mkuu?
Uko sahihi kabisa mkuu, wala hujakosea.Hakuna nyumbn hapo mbona ni banda LA kuku
Acha dharau dogo,utakuta upo mpaka Leo unaishi kwa shemej yako,sio lazima uchangie kila Uzi.rubbishHakuna nyumbn hapo mbona ni banda LA kuku
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] shemeji??? Ndo nini?? Mimi babu yako dogoAcha dharau dogo,utakuta upo mpaka Leo unaishi kwa shemej yako,sio lazima uchangie kila Uzi.rubbish
Spoiled brat......ukiijua thamani ya shilingi 500 huwezi andika ulichoandika, mshukuru aliyepambana kwaajili yakoHakuna nyumbn hapo mbona ni banda LA kuku
Mmiliki ana miji miwili, kaamua kuendeleza mji mmoja.Kupandisha boma ni 8mil, kupiga bati ni 6mil, kiwanja ni 4mil.
Ni bei halisi, nilitegemea iwe juu ya hapo, kwanini uuze kwa bei hiyo, kuna shida sana?
Hapo hujaweka gharama za usimamiz na vitu vidogo vidogo hajaweka faida kabisa mana kiwanja 22*22 +nyumba kwa bei hyo n sawa na bure ,, ???????????Kupandisha boma ni 8mil, kupiga bati ni 6mil, kiwanja ni 4mil.
Ni bei halisi, nilitegemea iwe juu ya hapo, kwanini uuze kwa bei hiyo, kuna shida sana?
Hii nyumba toka inajengwa naiona, ilijiengwa kwa mda mfupi sana.Hapo hujaweka gharama za usimamiz na vitu vidogo vidogo hajaweka faida kabisa mana kiwanja 22*22 +nyumba kwa bei hyo n sawa na bure ,, ???????????
Duh aiseee ngoja nimwonyeshe bro kama yuko njemaHii nyumba toka inajengwa naiona, ilijiengwa kwa mda mfupi sana.
Na mwenye mji alijenga kwa dhumuni/lengo la kupangisha.
Kwa nilivyosikia alikopa pesa hela mahali sasa mambo yamekuwa magumu kwenye kurejesha.
Karibu sana Mkuu.
Nikajua utaichukua hata wewDuh aiseee ngoja nimwonyeshe bro kama yuko njema
Usiwe na shaka mkuu!Hapo hujaweka gharama za usimamiz na vitu vidogo vidogo hajaweka faida kabisa mana kiwanja 22*22 +nyumba kwa bei hyo n sawa na bure ,, ???????????
Anakaribishwa pia!Duh aiseee ngoja nimwonyeshe bro kama yuko njema
Vitoto kula kulala vinavyopishana na mama zao kwenye corridor asubuhi asubuhi vinaleta dharau sana humu,ukimuuliza hata bei ya tofali hajui.inakera sana mkuuSpoiled brat......ukiijua thamani ya shilingi 500 huwezi andika ulichoandika, mshukuru aliyepambana kwaajili yako
Kwenye maisha/jamii watu kama hawa lazima wawepo ili kutoa changamoto za maisha.Vitoto kula kulala vinavyopishana na mama zao kwenye corridor asubuhi asubuhi vinaleta dharau sana humu,ukimuuliza hata bei ya tofali hajui.inakera sana mkuu