Kama mada isemavyo, nyumba ipo Mwenge mitaa ya TRA jijini Dar es salaam, nyumba ina vyumba vitatu na mabanda ya uwani, ina sqm 500! Document zote zipo na hati! Bei ni 260M maongezi yapo
Pia kama unahitaji nyumba ya kununua maeneo hayo ya Mwenge mitaa ya TRA nichek Offer zinaanzia 200M mpaka 350K
Na pia wale wanaohitaji za kupanga iwe nyumba, chumba au ofisi nanyi karibuni!
Kwa maswali na maelezo zaidi nicheki kwa
0684448888 au 0713415537.
View attachment 722980View attachment 722981View attachment 722982
Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi
WAtu wanamaneno mengi ya kukatisha tamaa. Kwa kuwa kwao wao vyuma vimekaza, then wanafikiria kuwa kwa wote vyumavimekaza.Kama mada isemavyo, nyumba ipo Mwenge mitaa ya TRA jijini Dar es salaam, nyumba ina vyumba vitatu na mabanda ya uwani, ina sqm 500! Document zote zipo na hati! Bei ni 260M maongezi yapo
Pia kama unahitaji nyumba ya kununua maeneo hayo ya Mwenge mitaa ya TRA nichek Offer zinaanzia 200M mpaka 350K
Na pia wale wanaohitaji za kupanga iwe nyumba, chumba au ofisi nanyi karibuni!
Kwa maswali na maelezo zaidi nicheki kwa
0684448888 au 0713415537.
View attachment 722980View attachment 722981View attachment 722982
Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi
Nyumba ya vyumba 3 na mabanda kwa 500sqm sizani mkuu.labda ni ukubwa wa hicho kiwanjaNyumba ya 500msq sio mchezo Mkuu?
Kinachouza nyumba ni pamoja na sehemu iliyopo, Hope kwa sasa unaona mwenge kuna magorofa kadhaa yanapanda, fanya tafiti na bei za pale,Nyumba ya vyumba 3 na mabanda kwa 500sqm sizani mkuu.labda ni ukubwa wa hicho kiwanja